Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2020

Final Year Message

 Nakumbuka tulianza pamoja safari tarehe 01/01/2020 ya kuelekea >>2020 natumebakiwa na Siku chache tu kufika ndipo machozi yanaanza kunidondoka ni Mara baada ya kugeuka nyuma na kugundua kuwa idadi kubwa ya wenzetu imetoweka na nilipo iona sura Yako bado ipo kwenye msafara nimefarijika n'a kujifuta machozi kwa furaha kubwa, Hakka Mungu nimuweza wa yote.NAKUPENDA❤️ NA NAKUOMBEA TUFIKE SALAMA 2021 Ebu nawe geuka uangalie Wale wote uwapendao  watumie SMS hii.Kama na mimi nipo nirudishie.